Masikini Hamisa....Kumbe Alikuwa Anampenda Diamond Kiasi Hiki...Na Kuamua Kufanya uamuzi huu mgumu | Mara Paah

Masikini Hamisa....Kumbe Alikuwa Anampenda Diamond Kiasi Hiki...Na Kuamua Kufanya uamuzi huu mgumu


Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefunguka kwa kudai kwamba yeye kwa Diamond alikuwa tayari kuwa mke wa pili kama muimbaji huyo angemuoa Zari The Boss Lady.


Wawili hao kwa sasa ameachana na wamekuwa wakitupiana maneno mtandaoni baada Diamond kuanza kuzungumzia madai ya kwamba familia yake inarogwa na mrembo huo.

Akiwa nchini Kenya Mobetto amefunguka kwa kudai kwamba wakati anaanza mahusiano na Diamond alijua ana mwanamke mwingine aitwaye, Zari.

“Wakati nakutana na Diamond nilijua kuna Zari na nilimuuliza, akasema mimi ni muislam na uwezo wa kuoa hata wanawake wawili,” alisema Mobetto. “Na mimi nipoo tayari hata kama ningekuwa nimeolewa halafu mume wangu anataka kuoa mke wa pili ningemruhusu,”

Mrembo huyo alifanikiwa kuzaa mtoto mmoja na Diamond huku Zari naye akimzalia muimbaji huyo watoto wawili.
Bonyeza Picha Hapo chini Kudownload App Ya Usiku wa Mahaba Uweze Kujiunga na Magroup ya WhatsApp Ya KIkubwa Utasoma Simulizi Tamu na Kujifunza Jinsi ya Kumridhisha Mpenzi wako Bonyeza Picha Chini au HAPA

1 Response to "Masikini Hamisa....Kumbe Alikuwa Anampenda Diamond Kiasi Hiki...Na Kuamua Kufanya uamuzi huu mgumu"

  1. Mh!!!? Mwimbaji mwenyewe anasema nini kulihusu hilo? Maana yeye ndo mwamuzi!!

    ReplyDelete